MTALIANO Carlo Ancelotti amerejea kwa vigogo wa Hispania, Real Madrid kufuatia kocha huyo mwenye umri wa miaka 61 kuondoka Everton ili kurithi mikoba ya Mfaransa, Zinedine Zidane aliyeondoka Uwanja wa Bernabeu.
Kuondoka kwa Ancelotti baada ya msimu mmoja tu kunaiacha njia panda The Toffees ambayo ilimaliza nafasi ya 10 katika Ligi Kuu ya England.
Ikumbukwe Ancelotti aliiogoza Real kutwaa taji la 10 la Ligi ya Mabingwa Ulaya mara mbili mfululizo 2013-14.




from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/3fWanBY
via gqrds