MSHAMBULIAJI chipukizi wa kimataifa wa Tanzania,  Adam Adam,  amesajiliwa na klabu ya Al Wahda ya Ligi Kuu ys Libya kutols JKT Tanzania ya nyumbani.
Adam mwenye umri wa miaka 24 anaondoka JKT Tanzania akiwa amefunga mabao saba katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara hadi sasa baada ya msimu uliopita kufunga mabao 13.




from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2T0YqmU
via gqrds